Lyrics: Bahati And Akothee – Nakupa Moyo Lyrics – Akothee Songs 2020

0
Bahati And Akothee - Nakupa Moyo Mp3 Download - Bahati Songs 2020

Bahati And Akothee – Nakupa Moyo Lyrics – Bahati Songs 2020 is one of his second hit songs after his last release faithful to fail me made it globally.

Bahati And Akothee – Nakupa Moyo Lyrics

Ulikonitoa ni mbali
Kwenye panda shuka za maisha
Kwenye mvua na jua kali
Kivulini ukaniweka

Kwenye juhudi za kutafuta shillingi
Hukuninyimaa
Tena kwa taabu nikitafuta riziki
Ukaniinua baba

Nyingi mondo omii duong’
Yesu ruodha
An apaki pile

In e ohingana
E osimbona
An apaki pile ruodha

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Chukua moyo yesu wangu

Aah nipigwe na mawimbi aaah
Umenilinda siamini
Lako sandere mangalee Zanderema yoo
Ogondo zandage mangeze Olaniwan

Umenifinyanga siamini
Yesu wangu
Umenibebanga ndio mimi

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Nakupa moyo

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Chukua moyo yesu wangu

FAST DOWNLOAD

Bahati And Akothee – Nakupa Moyo Lyrics – Bahati Songs 2020 is a very might and the powerful song everyone needs to listen to.

You can listen to the track below and as well download your own mp3 file below, also share with us using the comment box below about what you think about this Bahati And Akothee – Nakupa Moyo Lyrics – Bahati Songs 2020.

PROMOTE YOUR MUSIC ON MUSICPOINT AFRICA TODAY, WE’RE OFFERING 20% DISCOUNT.

Click HERE To Join Our WhatsApp Group For Latest Gospel Updates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here